#EFCBnews: Mwenyekiti wa chama cha ODM nchini Kenya, John Mbadi amesema Raila Odinga anaandaa baraza la mawaziri ambalo ataliongoza yeye mwenyewe. "Uhuru Kenyatta serikali yako iliisha jumanne iliyopita. Sasa rais wa Kenya ni Raila Amolo Odinga. Tuheshimiane…amuachie Raila afanye kazi.
Post a Comment