#EFCBnews UFILIPINO Magari yenye thamani ya zaidi USD 1.2 Million sawa na zaidi ya Tsh. 2.7 Billion yameharibiwa na tingatinga huko Manila na miji mingine chini ya usimamizi wa Rais wa nchi hiyo, Rodrigo Durtete - Baadhi ya magari 29 yaliyoingizwa kinyemela yaliharibiwa na tingatinga katika bandari tatu tofauti siku ya Jumanne. Magari hayo yalijumulisha BMW, Jaguar, Mercedes Benz na Corvette - Huu ni ujumbe kwa waingizaji wa bidhaa za thamani nchini humo bila kulipia ushuru na mapato.
Post a Comment