#EFCBnews: Dada wa kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Yo-jong amewasili nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Olimpiki. - Amekuwa mwanafamilia wa kwanza wa utawala wa Korea Kaskazini kutembelea Korea Kusini tangu mwaka 1953.
Post a Comment