#EFCBentertainment: Star wa muziki nchini Nigeria, Ayodeji Balogun maarufu kama Wizkid amekuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika kusaini mkataba na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike kwa ajili ya kumtengenezea na kuuza jezi zake za Star Boy.
Post a Comment