#EFCBnews: Mamlaka ya Bandari (TPA) imenunua Boti tatu ambazo zitatumika kuimarisha ulinzi wa mizigo ya wateja, kulinda mipaka ya bandari, na kufanya doria katika ya maeneo mbalimbali ya bahari. - Boti hizo zitatumiwa na Idara ya Ulinzi katika Bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara.